Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

006637a0ca8ee70d49a73deba5b51231.jpg
5fb680698fd178f0f5add183130d52a2.jpg
Teh teh..Tozi umetisha aisee
 
Inauzwa laki ngapi?
I cant say for sure kwa huko. Ila Body spray sidhani kama inafika hata elfu hamsini..........Kwetu 40z ni $ 10 . Nitakutumia mkuu ujimwage ( i am assuming wewe ni ME ) . Otherwise kama ni KE Perfume Chance in $130 na hiyo ingine ni $120
 
Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Botega si inauzwa sh. 8000.
 
Inauzwaje...
 
Back
Top Bottom