Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ni muhimu sana kua smart kuanzia dawa za meno ili kuweka kinywa safi, deodorant, body spray, mouth wash, sabuni za kuogea, spray za miguu, hapo kwa sisi ME lazima ujitambue kama ndevu ipo ikae kismart na kueleweka sio midevu imesimama kama miiba ya maganzo, kichwani lowcut inahusika, nguo zako ziwe fit sio oversize na uangalie unavaa nguo ipi kwenda wapi sio misut kwenye dinner au classic dates , usafi kipaji na kupendeza muhimu sana
 
Embu nijuzeni kwanza nini maana ya ""Eau de perfume" na "Eau de toillete'
KINGINE NIJUZENI AINA ZA PERFUME AMBAZO ZINA ALCOHOL NDOGO AMBAZO NI SUITABLE KWA YULE AMBAE HAPENDI PERFUME KALI..
 
download.jpg

Euphoria...... Ndio ninayotumia..... Ni nzuri sana sana.
 
I like perfume very much lakini nahisi sijawahi pata ninayoitaka.

Nimewahi kutumia architect, niliuziwa 70, 000 na watu wa kampun flani ivi (nimeisahau jina) ya vipodozi lakini na yenyewe haikukidhi haja.
Mwishowe nimeishia tu kwenye body spray za buku 5

Kwa iyo huu uzi umeplay part kubwa sana leo kwangu

Oriflame hao.........
Hawana perfume nzuri kabisa.......
 
wakuu ningeomba muwemnaandka kama ni perfume au body spray ili tufaham vzur maanA mim binafsi ni team babycare,boss n.k
 
Back
Top Bottom