Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Right now nimepiga BVLGARI MAN.
Nimepiga hesabu ya chap chap bafu la juu kuna chupa 99.
Sitaweza kuzitaja zote kunradhi.
Siajenda kuangalia bafu la chini bado.
Picha..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Right now nimepiga BVLGARI MAN.
Nimepiga hesabu ya chap chap bafu la juu kuna chupa 99.
Sitaweza kuzitaja zote kunradhi.
Siajenda kuangalia bafu la chini bado.
Taratibu kaka.Hahaaa mazee hiyo kama ni kweli umetishaa!
Taratibu kaka.
Zoom hapo katikati nimeweka karatasi nimeandika @ Kiranga.
Nilijua kuna watakaohoji.
Mambo fulani tu.
inauzwaje dukani?
Mie natumia dawa ya mbu ya rungu
Bila Shaka we ni KE; meza iko na madude mengi,my table has only Caron's Poivre labda na lotion Moja na deodorant...
Check ebayMimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
Mtoto wa kiume?mi' siwezi asyee kujaza makopo kiasi hiki
Check na eBay mkuu!zinapatikana usiwe na hofu kiasi hicho...huenda humu ndani tunatofautiana vipato ndio maana watu wakawa huru kusema wanacho tumiaPerfume/Cologne kwa hapa bongo dukani huwezi kuijaribu kabla hujanunua, na hata Ulaya ambapo unaweza napo ni kizungu zungu kwa sababu ukishajaribu mbili tatu baada ya hapo zote zina smell the same, I don't care what they say about that little cocoa seeds bottle wanachokupa unuse eti kufuta harufu iliyopo kichwani/puani.
Now, one reason tuna share recommendations kama hizi ni unapokuwa na choices nyingi mbele yako angalau uweze kuchagua kitu ushawahi kukisikia kinakubalika na jamii ya wake kwa waume.
Which brings me to my point. Hivi ukisema mimi natumia Dolce & Gabbana Original... sijui natumia Creed.... Bottega Veneta... nitaipataje cologne duniani inaitwa Dolce & Gabbana Original ??? Ni sawa na kumpa mtu recommendation ya gari TOYOTA Original! Yeah, thanks for the help! Bottega Veneta, Bottega Veneta ipi??? Creed ipi?
Naweza kusema binafsi naipenda sana Dior Sauvage. Bila hata ya kueleza lolote la zaidi angalau mpaka hapo tunajua manukato gani tunayaongelea, first and foremost. Okay, mi napenda natural air kuliko AC kwenye gari, sifungi vioo muda wote, kwa hiyo sifa ya kwanza ya cologne kwangu ni kwamba by the time nafika ninakokwenda isiwe ishakuwa blown away by the wind already. Dior Sauvage ina resist vimbunga siku mbili na inanukia vikali ajabu. Lakini bei yake imesimama, bahati mbaya.
Naomba niwe kwenye list valentina ntakutendea vizuriNataka kumnunulia mchepuko