Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

View attachment 360643

Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
eternal.jpg
hapa sihami
 
Niliuziwa hii kitu fake kwa 50k japo nasikia kibongo inauzwa kama 200k ipo good kama ukibahatisha Og yake
IMG_4671.JPG
 
Blue 4Men tu inatosha,mwaka wa 17 huu naitumia nimejaribu kuibadilisha nashindwa.25K nanukia zaidi ya masaa 24 though nguo navaa mara moja tu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom