Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Jumamosi nilikua pale, nilizozitaka nilizikosa, nikaishia kuchukua za kupima tuu. ila wamenipa business card yao.
 
Kama uko Dar winda yale maonesho ya Syria Exhibition utaipata chini ya 50k na hutajuta.
NB: ukijua ni lini nijulishe

God save us

Nazani mwaka huu itachelewa sababu ya Corona ila hua inafanyika march au April kila Mwaka.
 
Afadhali mkuu umetusaidia
Kwa wale wenzangu na mimi tusioweza kununua maparfume ya bei ghali..., aaah mimi natumia kibody spray kangu ka sh. 16,000/= ilivyo ya ukwel sasa hv hadi jasho langu linanukia hii spray bila hata kujipulizia kwa cku 1.

ACTIVELLE

7af7c98988addd8820a38b533422b03d.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom