Mbaka sasa nimewatomba madem 4 kisa kunukia vizuri...
Loyale blue ndio kiboko yao
Sent from my iPhone using JamiiForums
View attachment 360643
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
Hii ipo vizuri hapo ongeza na body spray ya Emotion ya kiume kutoka rasasi combination zinaendanaInauzwa Tsh 25,000/=View attachment 1343524View attachment 1343526
Daaah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Kulusumu....haswa nkitaka kupandisha maruhani
Kama uko Dar winda yale maonesho ya Syria Exhibition utaipata chini ya 50k na hutajuta.Niliuziwa hii kitu fake kwa 50k japo nasikia kibongo inauzwa kama 200k ipo good kama ukibahatisha Og yakeView attachment 1382337
RASASIPerfume body spray ikishaandikwa RISASI
Acha tu watuite wanaume wa Dar....halafu mwishowe wanakuja kulia humu eti tumewatombea mademu zao.
Kuna perfume ukiisikia harufu yake na ukiwa na. Njaa unaweza zimia aisee
Wapo sahivi mzee wahi wanasepa mwisho wa mwezi huuAsante sana mkuu.
Umekaa state sana inaonyesha, old Spice wabongo wengi awazijui ata