Asante mkuu nikipata muda nitaenda jumamosi
Na yangu usisahau 😎Asante mkuu nikipata muda nitaenda jumamosi
Okay...jina nalikumbukaNa yangu usisahau 😎
Rave culture iko Poa, next month nitairudiaNmetumia sana hii. Nilikua napenda zaidi rave culture kuliko Ventura.
Kwa sasa natumia Issey Miyake
Wasyria watafanya lini tena maonyesho jamani tujuzane.
Asante mkuu.Wameanza march 6 mpaka March 23
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zote nimeletewa kutoka USA kama ingekuwa China ungesema hivyo. Don't be jelly
[emoji23] harufu nzuri ya spray au perfume huwa inawadatisha mno wadada baada ya mwonekano mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kike zingine zina harufu nzuri sana. BTW napenda DKNY Red DeliciousVizuri mkuu, sio tatizo mwanamke kitumia perfume au deodorant ya kiume.
Ila ni tatizo kubwa mwanaume kutumia perfume au deodorant ya kike
Yah ni kweli sema mapezi haya unaweza fall kwa mtu asiyependa manukato .Nakuunga mkono napenda mwanaume anaye nukia uturi mzurii
Ni wivu tu mkuu elewa [emoji23]Zote nimeletewa kutoka USA kama ingekuwa China ungesema hivyo. Don't be jelly
Vizuri mkuuZa kike zingine zina harufu nzuri sana. BTW napenda DKNY Red Delicious
Haha nimeipata hiii. Kesho natinga banunua mzigo wa mwaka mzia
Watu wa Dar mna raha sanaHaha nimeipata hiii. Kesho natinga banunua mzigo wa mwaka mzia
God save us
Kuna mtu alikua anaitumia hii ila deodorant. Inanukia vizuri sanaMimi natumia Marquis bei inategemea inaanzia 35000 na kuendView attachment 1308052eleaView attachment 1308052
Haha nimeipata hiii. Kesho natinga banunua mzigo wa mwaka mzia
God save us
Naenda Leo