Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Me natumia smart
Naenda Leo
God save us
Nitakupitishia usikonde. Moja si inakutosha?Naisubiri yangu kesho.. #WaswahiliTunaShida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakupitishia usikonde. Moja si inakutosha?
God save us
Watakuja November tena...tutaenda kutalii au sio best?Inanitosha sana. Naisubiri dear. Umeniahidi utakuja Leo halafu eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuja November tena...tutaenda kutalii au sio best?
Ahahaha ukikosa iliyo kwenye list yako utapata ya kupima.
Hii na ile Shali's harufu tofauti?Mimi natumia Marquis bei inategemea inaanzia 35000 na kuendView attachment 1308052eleaView attachment 1308052
Kama uko Dar winda yale maonesho ya Syria Exhibition utaipata chini ya 50k na hutajuta.
NB: ukijua ni lini nijulishe
God save us
Nazani mwaka huu itachelewa sababu ya Corona ila hua inafanyika march au April kila Mwaka.
Ndio ni tofauti
[emoji23]Kuan mdada alikua anatumia hii akati tuko boarding. Yaani chupa moja haikai wiki mbili, alikua anaoga spray. Tukawa tunamfukuza akaspray nje ndo arudi bwenini. Harufu yake haipalii
Kwa wale wenzangu na mimi tusioweza kununua maparfume ya bei ghali..., aaah mimi natumia kibody spray kangu ka sh. 16,000/= ilivyo ya ukwel sasa hv hadi jasho langu linanukia hii spray bila hata kujipulizia kwa cku 1.
ACTIVELLE
Nzuri sana nimeitumia kwa muda sana ikiisha nanunua ingine.Niliuziwa hii kitu fake kwa 50k japo nasikia kibongo inauzwa kama 200k ipo good kama ukibahatisha Og yakeView attachment 1382337