Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Waarabu konyo unaweza kwenda na kichupa kidogo cha maji wakakuchangia perfume kali balaa haina jina
 
Weekend iliyopita nlienda kwa shemu wangu, nlikaa kwa sofa lake ule mtindo wa kujimwaga,,, basi juzi mshakaji wangu ananitania usije kwangu maana umeacha harufu yako, mamaa kila akikaa ktk lile sofa lazima aseme naskia harufu ya kush[emoji23],,


Shemu ananiambia niende tena nikaongeze harufu yangu,,

Nikacheka tu
 
Inaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…