upo vizuri,cjui umewezaje kushika haya majina ya perfume.Lacoste White ipo vizuri sana, harufu yake ni ile tulivu isiyo na makelele...
Mbadala wake hii unaweza jaribu Calvin Klein euphoria for men, au K-Men ya Dolce&Gabbana au Givenchy Gentleman au Mankind ya Kenneth Cole au pia Mont blanc Legend
Zote nilizozitaja nimeshazitumia kwa nyakati tofauti na zipo makini sana vile harufu zake hazina makelele...upo vizuri,cjui umewezaje kushika haya majina ya perfume.
Elfu Kumi, Unanukia Hadi Wanakusifia? Chai Hii 😀
nishawah kuchanganya ivo manz mmoja akanambia unanukia kimbuzi mbuzi,au nilikosea mixer
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nauliza ile harufu wazungu wananukia ni perfume au harufu ya ngozi zao maana wananukia hivyo karibia wote
Sio perfume, ni mafuta(nikama antibacterial) wanapakaa wakija sana kwenye nchi za ki tropical...Mi nauliza ile harufu wazungu wananukia ni perfume au harufu ya ngozi zao maana wananukia hivyo karibia wote
Yanaitwaje hayo mafutaSio perfume, ni mafuta(nikama antibacterial) wanapakaa wakija sana kwenye nchi za ki tropical...
Unajuaje wanageuka mkuu?..au mnakuwa kwenye uelekeo mmoja?..leo nimepuliza Lacoste White (for men) naona naopishana nao wanageuka kuniakiki kama ni mtanzania mwenzao au nimetokea kwenye nchi za Corona
Na mie nageuka kuangalia feedbackUnajuaje wanageuka mkuu?..au mnakuwa kwenye uelekeo mmoja?..
Boss ziandike na bei zake aiseeLacoste White ipo vizuri sana, harufu yake ni ile tulivu isiyo na makelele...
Mbadala wake hii unaweza jaribu Calvin Klein euphoria for men, au K-Men ya Dolce&Gabbana au Givenchy Gentleman au Mankind ya Kenneth Cole au pia Mont blanc Legend
Inayopagawisha raia zaidi ukipaka ni ipi?Na mie nageuka kuangalia feedback
Mara nyingi sana. Nashauri utumie Creed au Lacoste White watu watakwambia zina bei sana ila kuna njia za kuzipata kirahisiInayopagawisha raia zaidi ukipaka ni ipi?
Ushapokea live compliment kutoka kwa stranger wa kike kuhusu kunikia?
Wiki iliyopita nilikuwa safarini from Zanzibar nilikaa na mama mchungaji mmoja aliniuliza natumia perfume gani inanukia vizuri sana ilikuwa Creed AventusInayopagawisha raia zaidi ukipaka ni ipi?
Ushapokea live compliment kutoka kwa stranger wa kike kuhusu kunikia?
Hii inapatikana wapi kwa Bongo na bei gani kama vipi nijibu PMZote nilizozitaja nimeshazitumia kwa nyakati tofauti na zipo makini sana vile harufu zake hazina makelele...
Kenneth Cole na Calvin Klein Euphoria for men, hizi ndio zaishia ishia...
Sasa hivi nimehamia kwa Zara Vibrant Leather (hii inanukia kama Creed Aventus sikuwa na mpunga wa kuafford Creed) na Zara Night Pour Homme II Sport Zara
View attachment 1696025