Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Niaje bway hermit...
Sasa hivi umehamia unyunyu gani mkuu. Mie huwa nakuigiliza wewe. Ulianza na blue for men. Baadae ukahamia magnetic. Nilienda K/koo nikaikosa Magnetic. Mie natumia ECHO lakin nataka nihame.
Kuna unyunyu unaitwa Mousuf Kigunia, original perfume achana na sprays ulizia huo ukikosa utapoulizia nicheki nkupe namba ya jamaa anaeuza maunyunyu napochukuaga...mimi natumia Mousuf kwa sasa mkuu iko vizur cha msingi ni kujipulizia sehem muhim za mwili ndo inakua inatoa harufu nzur asubuh hadi usiku.
 
How much how much chief....
Na unaposema sehemu muhimu za mwili sijakupata vizuri, maana mie huwa najipulizia randomly kwenye nguo. Sijui nakosea.
Elfu 40 mkuu inategemea na sehem na sehem (maduka). Hupaswi kujipuliza sana mkuu unajipuliza sehem muhim na kwa fyuuu 1[emoji3](fundamoja) mabegan(shotona kulia), kifuan(kushotonakulia), nyuma ya shingoni, mbavuni karibu na kwapa(usipulizie kwapani) pamoja na kwenye mikono(kiganjani kwenye viungio/kifundo).
Hapo ndo mtu wa jiran yako ataisikilizia harufu yake na wew utakua unaihis asubuh mpk usiku mkuu
 
Baada ya Mousof Kigunia kunishinda bei nilikua na hela pungufu, nimeamua kutulia na hii 12,000 tu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…