MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Hii Wapi Inapatikana? Ninayo Spray YakeMi hii hapa napenda harufu yake sio ya kuumiza pua, Tsh. 30,000 - Tsh. 35,000View attachment 1731159
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Wapi Inapatikana? Ninayo Spray YakeMi hii hapa napenda harufu yake sio ya kuumiza pua, Tsh. 30,000 - Tsh. 35,000View attachment 1731159
Niaje bway hermit...Sh ngapi hiyo
Inapatikana Kariakoo, maduka yaliyoko kule ambako daladala zilizokuwa zinatoka Ubungo zamani zinapaki, kituo cha mwendokasi cha msimbazi(kuna maduka mengi ya urembo urembo).Hii Wapi Inapatikana? Ninayo Spray Yake
Kuna unyunyu unaitwa Mousuf Kigunia, original perfume achana na sprays ulizia huo ukikosa utapoulizia nicheki nkupe namba ya jamaa anaeuza maunyunyu napochukuaga...mimi natumia Mousuf kwa sasa mkuu iko vizur cha msingi ni kujipulizia sehem muhim za mwili ndo inakua inatoa harufu nzur asubuh hadi usiku.Niaje bway hermit...
Sasa hivi umehamia unyunyu gani mkuu. Mie huwa nakuigiliza wewe. Ulianza na blue for men. Baadae ukahamia magnetic. Nilienda K/koo nikaikosa Magnetic. Mie natumia ECHO lakin nataka nihame.
Hii hapa mkuuNiaje bway hermit...
Sasa hivi umehamia unyunyu gani mkuu. Mie huwa nakuigiliza wewe. Ulianza na blue for men. Baadae ukahamia magnetic. Nilienda K/koo nikaikosa Magnetic. Mie natumia ECHO lakin nataka nihame.
How much how much chief....Hii hapa mkuu
View attachment 1771267
Elfu 40 mkuu inategemea na sehem na sehem (maduka). Hupaswi kujipuliza sana mkuu unajipuliza sehem muhim na kwa fyuuu 1[emoji3](fundamoja) mabegan(shotona kulia), kifuan(kushotonakulia), nyuma ya shingoni, mbavuni karibu na kwapa(usipulizie kwapani) pamoja na kwenye mikono(kiganjani kwenye viungio/kifundo).How much how much chief....
Na unaposema sehemu muhimu za mwili sijakupata vizuri, maana mie huwa najipulizia randomly kwenye nguo. Sijui nakosea.
Baada ya Mousof Kigunia kunishinda bei nilikua na hela pungufu, nimeamua kutulia na hii 12,000 tu
View attachment 1788442
Uliulizia mousuf, wamekwambia sh ngapi?Baada ya Mousof Kigunia kunishinda bei nilikua na hela pungufu, nimeamua kutulia na hii 12,000 tu
View attachment 1788442
Aah dark fever pia iko vizur nmeitumia sanaBaada ya Mousof Kigunia kunishinda bei nilikua na hela pungufu, nimeamua kutulia na hii 12,000 tu
View attachment 1788442
baada ya bei ya kigunia kunishinda,nikaamua nitumie body spray yake ipo vizuri tuHii hapa mkuu
View attachment 1771267
Aah safi kamanda, madukan ulipouliza wamekwambia sh ngapi perfume yake?baada ya bei ya kigunia kunishinda,nikaamua nitumie body spray yake ipo vizuri tuView attachment 1792479
elf 40Aah safi kamanda, madukan ulipouliza wamekwambia sh ngapi perfume yake?
Bei ya hii kitu sio rafiki kwa maisha yetu wasaka tonge.Tumia Versace Dylan Blue ni moto wa kuotelea mbali ni mixer ya blue chanel+dior savage+aqd de gio
View attachment 1871309
Naitaji hii bei yake mkuuTumia Versace Dylan Blue ni moto wa kuotelea mbali ni mixer ya blue chanel+dior savage+aqd de gio
View attachment 1871309
Vip hii na blue for men au magnetic ipi Nitumie cheif?Hii hapa mkuu
View attachment 1771267