Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Blue for men mzigo naukubali hauna harufu Kali ,harufu yake kuipata labda umsogelee mpakaji ,unapatikana kwa 20k za kibongo

 
Mkuu Blue 4Men umeitoa kwenye list yako ya perfumes zenye kiwango?

Nashindwa kuiacha nimekuwa najaribu nyengine nyengine ila sipewi sifa za nikitumia Blue,au napigwaga famba?
Blue for men ni hatari mjomba mara ya kwanza kuitumia ilikuwa kwa jamaa yangu tulikuwa hostel moja nikawa nagongea kila siku ....mm ndio niliimaliza parfume yake 😆😆 ,maana yeye alikuwa anatumia kidogo alikuwa anazo spray nyingi
 
Nimeinunua ...nitest mitambo....nizipopata demu ntakujiaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Vipi ukicheki inavyonukia? Iko vizuri? Umepokea compliments? (Nazungumzia hii Bleu de Chanel)
Yes, Mara nyingi watu huniambia, na pia huwa inakaa sana kwenye nguo, weekend huwa natoa nguo chafu kwenye tenga zikafuliwe nasikia harufu zake bado.

Lakini pia mimi situmii perfume throught the year, kuna muda nazichoka natumia deodorant tu.

Ila mie naipenda sana hiyo Givenchy kuliko hiyo nyingine.
 
Maelezo murua kabisa, Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…