Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kwa ambae anahitaji creed aventus og kabsa anicheki mm nimeletewa mbili hapa naona hii moja niiuze tu.
IMG-20220828-WA0020.jpg
 
kupata og kabisa hzo bei zake ni mkasi ni kuanzia 300000tsh

ila zipo oil based perfumes zake wanapima bongo kwa mfano mils 50 ni 35000tsh na 100mils ni 55000 na ni kma og tu

cheki na wauzaji kma ematscents, glamourscents

hao wte wanapatikana insta.
Vipi Dolby ni nzuri mkuu ? Naona wadau wanaisifia sana
 
the most overrated perfume ever...

yaani hii kwangu ya kawaida mnooooo

hebu tafuta hzi achana na hyo taktaka

1. pink chiffon

2. escada taj sunset

3. esacda cherry in the air

4. escada magnetism

5. sexy graffity

6. rams lattafa (silver colour)

7. black orchid by tom ford

8. lanuit tressor(kiboko sana hii)


tafuta hzo kitu halafu linganisha na huo upupu wa kigunia
Hapa nakuunga mkono.....!.. mousof nishatumia sikuiludia tena.. yakawaida mno... nimeama...
 
Back
Top Bottom