Unasukuma sh ngapiKwa ambae anahitaji creed aventus og kabsa anicheki mm nimeletewa mbili hapa naona hii moja niiuze tu.View attachment 2343268
Kiguniaoverrated.
Vipi Dolby ni nzuri mkuu ? Naona wadau wanaisifia sanakupata og kabisa hzo bei zake ni mkasi ni kuanzia 300000tsh
ila zipo oil based perfumes zake wanapima bongo kwa mfano mils 50 ni 35000tsh na 100mils ni 55000 na ni kma og tu
cheki na wauzaji kma ematscents, glamourscents
hao wte wanapatikana insta.
nzuri kiasi chake ila kwangu bdo sio the top.Vipi Dolby ni nzuri mkuu ? Naona wadau wanaisifia sana
Imetoka nchi gani..na unaiskukuma kwa sh ngapi?Kwa ambae anahitaji creed aventus og kabsa anicheki mm nimeletewa mbili hapa naona hii moja niiuze tu.View attachment 2343268
Mkuu hebu taja top 5 hapanzuri kiasi chake ila kwangu bdo sio the top.
1.pink chiffonMkuu hebu taja top 5 hapa
Ni nzuri ila inachosha haraka.Vipi Dolby ni nzuri mkuu ? Naona wadau wanaisifia sana
Hapa nakuunga mkono.....!.. mousof nishatumia sikuiludia tena.. yakawaida mno... nimeama...the most overrated perfume ever...
yaani hii kwangu ya kawaida mnooooo
hebu tafuta hzi achana na hyo taktaka
1. pink chiffon
2. escada taj sunset
3. esacda cherry in the air
4. escada magnetism
5. sexy graffity
6. rams lattafa (silver colour)
7. black orchid by tom ford
8. lanuit tressor(kiboko sana hii)
tafuta hzo kitu halafu linganisha na huo upupu wa kigunia
hamna kitu mule mzee.Hapa nakuunga mkono.....!.. mousof nishatumia sikuiludia tena.. yakawaida mno... nimeama...
Ongezea na suave hapoHapa nakuunga mkono.....!.. mousof nishatumia sikuiludia tena.. yakawaida mno... nimeama...
Paris ni og price yake ni 200KImetoka nchi gani..na unaiskukuma kwa sh ngapi?
Boss ramz lattafa shingap1.pink chiffon
2.sexy grafitty
3.rams lattafa (silver)
4.lanuit tressor
5.escada taj sunset
zipo nyingi ila hzo binafsi nazielewa zaidi.
Ya kiume au ya kikeUnique,,,,kila anayenizunguka anataka aijue akaitafute,,,hasa hawa kinadada[emoji119]View attachment 2359622
Sent using Jamii Forums mobile app
Nivea
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!! Mimi natumia Knowledge Perfume, wewe jee?
copy-19000tshBoss ramz lattafa shingap
hao rasasi ndo wanatengeneza hzo rams lattafa wanajua mnooo.Unique,,,,kila anayenizunguka anataka aijue akaitafute,,,hasa hawa kinadada[emoji119]View attachment 2359622
Sent using Jamii Forums mobile app