Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Huu uzi nilikua naupita tu, una maelekezo mazuri ya namna ya kutumia mshahara wa kima cha chini kwa mTanzania.

Nitarudi tena nikiwa mcharo.
 
c2d6b1647801d5e0b98f69029faf8c9f.jpg
Chinnese version
 
8962a03fca9794ebb7a51becd37bf8ae.jpg

Me hutumia Love Portion kutoka Oriflame.. Inanukia vizuri na hukaa kwenye nguo kwa muda mrefu...

Ukihitaji perfume nzuri za kike na za kiume na Original kutoka Oriflame usisite kuwasiliana nami kwa simu namba 0672416294

Kuhusu bei usijali ntakupunguzia kwa 30%..
Sh ngapi hii..??
 
Half Genious
Hio ni fake. Kama unajua Kiingereza wamekuandika hapo hao 'designer collection' kuwa hio ni version yao ya Issey Miyake haina uhusiano wowote na TM yaani registered trademark ya Issey Miyake,yaani hii haina uhusiano na Issey Miyake Original.

Box la Issey Miyake original haliko hivyo. Nimeitumia since 2000. Hata usingizini najua kuanzia box,chupa hadi kizibo!
 
Hii yenyewe mi ni mlevi wa perfume miaka mingi..nakumbuka kwenye maisha yangu nimepigwa feki moja tu ya Gucci by Gucci nilipochukulia hii wanauza bei ya Jumla 85,000/...nanayo na Black box unafa nguo bado ipo.!
Hio ni fake. Kama unajua Kiingereza wamekuandika hapo hao 'designer collection' kuwa hio ni version yao ya Issey Miyake haina uhusiano wowote na TM yaani registered trademark ya Issey Miyake,yaani hii haina uhusiano na Issey Miyake Original.

Box la Issey Miyake original haliko hivyo. Nimeitumia since 2000. Hata usingizini najua kuanzia box,chupa hadi kizibo![/QUOTE]
Hizi wqnazouza kkoo buku 4-10 zinakera sana.
 
Back
Top Bottom