Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nin kilichokushinda kwenye hii product mkuu?View attachment 623897Pamoja na kuwa unanipa heshima sana ila nimeushindwa
Nin kilichokushinda kwenye hii product mkuu?
Baada ya kutumia siku 5.Sikatai imenipa compliment nyingi tu...
Tatizo harufu yake kwangu ni kama ya kiarabu flani hiviii.Pili naona kama inanikera mana haitoki kwenye nguo mpaka uifue ndo ipungue.tatu chumba changu hadi koridon ni harufu.Nne ni kama zile karaha za UDV kila utakapokatiza ni harufu yako tu...Kwa mimi No Thanks
Huyo Kaka alivyoandika list ndefu hivyo.Je anauzaaaa.Eti amesema anazo zote jamani.Kuna wakaka Humu JF wanajikwezaaa hatari.Anyway pengine kweli kwa lengo alilotajaKweli, kuna baadhi ya perfume hapo ninatumia ni mzuri mno.
Tuambiane Na bei zake Ili MTU unajipanga kabisa Mana zinaomekana ni nzuri sana![]()
![]()
![]()
Hiki perfume inaitwaje nimetafuta sehemu nyingi bila mafanikio
Naweza kuipata maduka yepi?
Nilipewa zawadi na mtu sikuambiwa bei yakeTuambiane Na bei zake Ili MTU unajipanga kabisa Mana zinaomekana ni nzuri sana
So TrueTom Ford *Tobacco Vanille* hii ni level nyingine ila bei shida
Bei Zake?1 Million Paco Rabbane ndio unyunyu wangu.. spray ni AXE Africa na 212 Tom Ford Orchird