Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635

Oya dukan gan kwa hapa dsm?? Kama upo dsm

Na bei??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
$130
IMG_20200211_194335_6.jpeg
IMG_20200211_194128_2.jpeg
IMG_20200211_194209_9.jpeg


God save us
 
Back
Top Bottom