RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hii nikipulizia huwa inaleta balaa[emoji23] harufu nzuri ya spray au perfume huwa inawadatisha mno wadada baada ya mwonekano mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nikipulizia huwa inaleta balaa[emoji23] harufu nzuri ya spray au perfume huwa inawadatisha mno wadada baada ya mwonekano mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana nzuriHii nikipulizia huwa inaleta balaa
View attachment 1426124
Hii kwenye list yangu haikosi. Nimeitumia tangu 2000!Issey miyake
It is amazing.Inaonekana nzuri
Hii nikipulizia huwa inaleta balaa
View attachment 1426124
Nakuunga mkono napenda mwanaume anaye nukia uturi mzurii
Sasa mkuu hata jina hakuna utaitafutia wapi....au shazam [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1469448
Tafuta hii perfume
Ultramale by Jean Paul Gaultier..Noma na nusuView attachment 1469448
Tafuta hii perfume
Hiyo ni Ultramale by Jean Paul Gaultier..iko poaSasa mkuu hata jina hakuna utaitafutia wapi....au shazam [emoji1][emoji1][emoji1]
Bei ya kawaida tuMkuu ipo Kitu ni bei gani?
Bei ya kawaida tu
Elfu 28,, inategemea uko maeneo gani,, wengine huuza hadi elf 30-35,, kwingine ukibahatika elf 25.