Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ipe nguvu hoja yako..what the difference?
Ultra male (Jean Paul Gaultier za kiume almost zote) huwa zina ka ring flani chini ya sprayer, halafu hii sprayer yake kama ina glow sana wakati usually huwa ni dark silver flani
 
Mkuu nitume picha ya hiyo kitu
[emoji3]
91G0WBQQD3L._AC_UL600_SR600%2C600_.jpg


Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu nimeanza kuitumia juzi baada ya kuona wajuba wameipromoti Sana...mpaka Sasa ni Vita kitaa wadau wanataka kujua mnyama nnaemtumia..wadada ndo acha kabisaaa
Ulinunua wapi na kwa bei gani maana mengi ni fekelo (fake)
 
Back
Top Bottom