Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hii kitu 😍💃
Sema kweli nikija 'niivae'
20221217_195531.jpg
 
Niliingia ule mtaa japo skuuulizi maduka yote ila asilimia kubwa niliulizia olaah

Sijumulii kariakoo boss

Hizo huwa naleta special kwa baadhi ya wateja
Hazina demand sana kuzipata Pengine ni Mara chache

Ukifika mitaa hiyo nichek
 
Sijumulii kariakoo boss

Hizo huwa naleta special kwa baadhi ya wateja
Hazina demand sana kuzipata Pengine ni Mara chache

Ukifika mitaa hiyo nichek
Sawa mkuu naomb bhs unitumie pm namba yako ili hii week nikucheck
 
Marquis Perfume-30k
Marquis spray-5k

Ya kiume ina rangi ya bluu
Ya kike rangi ya damu ya mzee


Inanukia vizuri wachuchu wengi waliokuja karibu nami walidai kuipenda
Unaijuaje hii perfume ya Kike na hii ya kiume..
 
Hii nimepewa na friend of mine kutoka Qatar... ni wiki mbili imepita toka ni spray na manukato hayaishi kwenye nguo, nikifua nikipiga pasi ndio kama nimeyaamsha.. bei yake imechangamka kidogo $183. 00View attachment 2449626
Unisex
Longitivity 10/10
Unakaa kwenye nguo kupitiliza,
Ina makelele mno,ukizidisha inakera..

Siipendi harufu yake kama ya kihindi/kiharabu hivi.
 
Back
Top Bottom