Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
Vp hii wazee inapakana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp hii wazee inapakana ?
Hio sauvage iko vyema,View attachment 2455059
Bora nikose lotion ila siyo perfume
Hizi za kidada
Za kiume Club na sauvage
Aventos pia naitumia hasa jioni hivi
Kweli bro, ngoja nijitose tuHasara roho tu, jitosee mkuu.
Siku hizi nimeshtuka kuna vikopo vya bei chee sana na vinafanya vyema kuliko hizo cologne za mapesa mengi...
Kuna moja nimesahau jina,haina bei
Brand ni lonkoon,
Chupa ya mviringo rangi ya orange [emoji521].
Nilitumia kichupa kimoja tu.
Hii ilikua nzuri sana,niliisaka mno sikufanikiwa.
Hornet
Hebu niulizie kama inapatikana huko.
Naipenda mno.
Hasara roho tu, jitosee mkuu.

Sijawahi kukutana nayo,Vp hii wazee inapakana ?
[emoji1] Ongezea na Profondo kwenye list yako ina balaa sanaView attachment 2455059
Bora nikose lotion ila siyo perfume
Hizi za kidada
Za kiume Club na sauvage
Aventos pia naitumia hasa jioni hivi
Picha sina ndio mana hata jina silikumbuki,Nipe picha zote
Kesho nakupa price
Wooow! Aisee nimeipata,Hii ni fire [emoji91]Nipe picha zote
Kesho nakupa price
Ukivaa ukapendeza,
Ukamtupia huyu jamaa,
Hakika atakupa heshima sana.
Moja kati ya silaha zangu za kivita ninazoziamini...
Kama kuna mwamba kawahi itumia alete review yake hapa.View attachment 2455079
Hii ya kiume Hornet...Utanifanya nizinunue zote sasa[emoji28]
Nna wazimu na perfume
Inacheza bei ngapi hiiUkivaa ukapendeza,
Ukamtupia huyu jamaa,
Hakika atakupa heshima sana.
Moja kati ya silaha zangu za kivita ninazoziamini...
Kama kuna mwamba kawahi itumia alete review yake hapa.View attachment 2455079
Inategemea na ujazo mkuu,Inacheza bei ngapi hii
Jina tupu linaonesha ina unyama sana!! [emoji95]Inategemea na ujazo mkuu,
Ila haraka haraka ni kuanzia 100k
[emoji38]Jina tupu linaonesha ina unyama sana!! [emoji95]
Issey miyake ulishaitumia? Vipi ipo njema na price yake imekaa vipiUkivaa ukapendeza,
Ukamtupia huyu jamaa,
Hakika atakupa heshima sana.
Moja kati ya silaha zangu za kivita ninazoziamini...
Kama kuna mwamba kawahi itumia alete review yake hapa.View attachment 2455079
Sijawahi mkuu.Issey miyake ulishaitumia? Vipi ipo njema na price yake imekaa vipi
Ok mkuu, kwa budget ya 50k to 70k ni kazi gani za kiume naweza pata zisizo na choking smellSijawahi mkuu.
Ila naona kibongobongo inasifiwa mno.