Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hii nimeikosa



Aventos
Wanaringa ni 25,000 naona hamna sokoni

Huyu mmoja anayo anaisukuma kwa hiyo bei

Though kwangu ni reasonable nikiangalia na maajabu yake
Haina shida nachukua hakuna shaka,
Nakuja PM
 
Jana nimenunua BLACK FEVER 18k...inanukia vzuri sana ila mpaka sasa hv sjapata compliment yoyote toka kwa mtu yeyote
[emoji1787][emoji1787] daah, waafrika kupeana compliment ni kitu kigum sana, mtu atabaki anasifia tu harufu ya uturi ndan ya nafsi yake ila mpaka akwambie ujue kashajifikiria sana kwahyo usiwe na shaka na hilo
 
Watu8 huu mzigo ni balaa. One of the best cologne nilizopata. Zawadi from shem yako
20221225_081801.jpg
 
Nyani Ngabu yuko wapi?

Nataka nimrudishe kwenye ile picha aliyoibishia.

Ambayo ilimtisha mpaka hakuamini kwamba ni yangu.

Halafu nimuoneshe maendeleo ya leo.

Bless. Love. Peace. Unity.
Hahahaaaa……my guy!

I’m in Sosua for the holidays.

Hebu weka hayo maendeleo tupate inspiration bana.

NB: Hey Sosua is no joke. If you like thickness….then this is the place to be.
 
Leo nimepewa zawadi ya vocha ndo nikapata fursa ya kuweka bando.

Soon hapa bando likiisha nitapotea tena [emoji3].

Hahaaaa,

Tuambie kwanza Soasua ni wapi.

Halafu nipe credit ya kukurudisha.

Halafu usipoteee, watu wa "Food Evening" wasije kupotea nawe.

Naangalia ads za USA baby nijue c9llection ya 2022 inaishaje.
 
Back
Top Bottom