Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

For gentlemen, this is my favorite. Not too strong yet you smell expensive
UNP4JB453FEABDNTGAO6DVWOLI.jpg
 
Vinafanana harufu kwa mbali ila naona creed aventus ni kali sana ..Aventos Haina noise sana .
Creed Aventus zinatofautiana,kuna ile yenye chupa nyeusi hiyo ni the best,original yake ni 1.8m ila copy zipo kuanzia 15 nazo si mbaya sana
 
Juzi katika pitapita zangu,kuna mtaa nilikatiza nikakutana na manukato ya kupima.

Nilichukua kichupa cha "LA COSTE WHITE"
kwangu niliona kawaida ila inakaa na compliments ni za kutosha,
Yuko dada mmoja kaning'ang'ania toka jana nimtajie inaitwaje...

Ubaya imenishinda inanikausha koo.
La coste white inanukia vizuri, naipata.
 
Free delivery
 

Attachments

  • 255719884854_status_93b383323c4845deb87d1286e97866da.jpg
    255719884854_status_93b383323c4845deb87d1286e97866da.jpg
    59.9 KB · Views: 34
Nukia ki boss
 

Attachments

  • 255719884854_status_da3f3fdba11b467e9d25787a89b7efb1.jpg
    255719884854_status_da3f3fdba11b467e9d25787a89b7efb1.jpg
    72.9 KB · Views: 44
Wale wa perfume za kupima mkuje
Mils 30 16k
Perfumes aina zote
 

Attachments

  • IMG_20230104_161216_561~2.jpg
    IMG_20230104_161216_561~2.jpg
    1.1 MB · Views: 46
  • IMG_20230104_161022_644~2.jpg
    IMG_20230104_161022_644~2.jpg
    1.2 MB · Views: 50
Back
Top Bottom