Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
πππππππSikuangalia vizuri nikadhani ni mahindi ya kuchoma πππππ
Wabeja sana Msukumaπ€£
Njoo uyachukue ukale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππSikuangalia vizuri nikadhani ni mahindi ya kuchoma πππππ
35k mkuuHii bei ngapi
itabidi nichukue ninywee chaiπππππππ
Wabeja sana Msukumaπ€£
Njoo uyachukue ukale
Nitakupa moja usijaliitabidi nichukue ninywee chai
Nijuze hilo chimbo uliponunua hiyo Aventos niijaribu namimiAventos natumia kwa sasa inakaa sana sema mi napaka na Mist ...Kwangu naona ni value for money coz bei Chee 25k then mil 100 ni bomba Haina bugs na noise kwa sana ..
Nimemtumia creed na pegasus plus mist dah ni kupata Mafua tu daily zinakuwa kali sana..
Mi nilinunua msimbazi pale usawa kituo cha mwendokasi Kuna maduka ya vipodozi na manukato.Nijuze hilo chimbo uliponunua hiyo Aventos niijaribu namimi
Tayar nimekupata hapo, shukranNi nilinunua msimbazi pale usawa kituo cha mwendokasi Kuna maduka ya vipodozi na manukato.
Inabid nibadilike kutoka kutumia Blue For Men nihamie kwenye hii Aventos mkuuhio Aventos inakaa mno,hadi sehemu utakayolala harufu inabakia. Afu bei ya kishikaji
Yes chukua hiyo mi nmeinunua jana hiyo aventos blue, iko poa ina harufu inayofanana na perfume iitwayo MagneticInabid nibadilike kutoka kutumia Blue For Men nihamie kwenye hii Aventos mkuu
Blue for men ni rasasi?Inabid nibadilike kutoka kutumia Blue For Men nihamie kwenye hii Aventos mkuu
Hello, Aventos ninayo. Karibu 0753669856. Nipo Dar na bei hizo hizo. Ukiwa Kariakoo nicheck mtaa wowote utaletewaNijuze hilo chimbo uliponunua hiyo Aventos niijaribu namimi
Pitapita zangu leo nmeiona hii comment yako mkuu nikajikuta nacheka [emoji1][emoji1]Kama bei ndio hizo, acha niendelee kukimbiwa na mademu.
Angalau hiyo Cool Water ya 130,000 naweza jitutumua!
Hivi sasa nimetulia humu...Pitapita zangu leo nmeiona hii comment yako mkuu nikajikuta nacheka [emoji1][emoji1]
Yes hilo ni kweli kuna moja nilinunua hela yangu imeenda bureBlue for men ni rasasi?
Hizi zinachakachuliwa sana siku hizi..
Aventos hutajuta
Safi sana bro, Yes nimeshainunua, iko na utulivu sana haiumizi puaHivi sasa nimetulia humu...
Nikimaliza nitaitafuta hiyo Aventus mnayoisema nione ikoje. Umeshainunua?
View attachment 2482542
sauvage na Victoria secret
inaonekana za kike hizo majina yake yalivokaa.Kwa body mist Victoria secret wapo vyema halafu inakaa muda mrefu
Pamoja na Bodycology Zipo vyema
Natafuta perfume ya Forever 25th Edition (inauzwa kati ya 120k-130k) niliponunua awali hawana Tena.
View attachment 2455350
Let's go... 22,000/=Safi sana bro, Yes nimeshainunua, iko na utulivu sana haiumizi pua