Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

kati ya zote hapo hyo 24 ni nyokoooo
vp hii
IMG_20230213_000751_653.jpg
 
Hii Aventos napulza kufikia sa tano harufi ishaisha bhna.
Yaan inazidiwa hata na spray yangu ya "Let's imagine"
Saint Anne em nijuze perfume iliyotulia kama black opium ambayo inatulia the whole day kwenye nguo ili nikiuungishe bhana
Itakuwa unahisi perfume imeisha lakini uliokaa nao wanakusikia.
Sometimes Mimi huwa najihisi hivyo,lakini nikipita watu wananiambia nanukia.

Japo nyingine kweli zinaisha fasta mwilini.

Ila hadi sasa binafsi yangu sijaona perfume Kali kama black opium[emoji119].

Nimekuelewa Mkuu,
Chukua hiyo Suspenso
Na Bavaria.

Hazitoki haraka mwilini.
 
Black opium tatzo nilinunua ya kupima, lakini naona kama nayo inawahi kuisha kwenye nguo.
Ila for me, black opium n best kwa harufu yake ya kutulia. Haina kelele wala hata ukiipuliza haiumizi pua
 
Black opium ni nzuri sana
Hata mimi naipenda mno Mkuu,
Pengine naipenda kuliko perfume nyingine zoote.
 
Hii Aventos napulza kufikia sa tano harufi ishaisha bhna.
Yaan inazidiwa hata na spray yangu ya "Let's imagine"
Saint Anne em nijuze perfume iliyotulia kama black opium ambayo inatulia the whole day kwenye nguo ili nikiuungishe bhana
Black opium [emoji123]
 
Wakuu...
Natafuta hii perfume inaitwa prisma rosa..
mwenye anajua inapatikana wapii.. Nimeitafuta saana tangu iishe niliyotumia mwanzo..😭
 
Back
Top Bottom