Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mousuf mm naipenda sana ila jilishawahi kuulizwa na watu sio chini ya 13 natumia perfume gani so hao wote wameongezeka kwenye mousof..
Nataka nibadili sasa maana zinachakachuliwa sana.
Unaweza usibadili ila ukachanganya na nyingine ili uwe tofauti.
Ukipata combo nzuri inanoga sana.
 
Hizo spray na perfume zinaongeza hormone za kufanya watu wawe mashogaaaa.

Report ya Mwakyembe inasema hivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3514]Tetesi

Inategemea ila Kuna perfume Zina smell za kuwafanya wadada wa date,na kuna perfumes mwanaume akijipulizia zinawafanya wanaume wenzake ziwachanganye.

hii ni kutokana na kutokujua aina gan ya perfume kutumia ,kwaiyo inaitaji umakini sana kuchagua perfume kwaajili ya matumizi.
 
30,000/=, free delivery
 

Attachments

  • IMG-20230329-WA0021.jpg
    IMG-20230329-WA0021.jpg
    123.7 KB · Views: 35
  • IMG-20230329-WA0023.jpg
    IMG-20230329-WA0023.jpg
    89.6 KB · Views: 39
  • IMG-20230325-WA0002.jpg
    IMG-20230325-WA0002.jpg
    56.4 KB · Views: 48
  • IMG-20230325-WA0007.jpg
    IMG-20230325-WA0007.jpg
    78.3 KB · Views: 40
  • IMG-20230325-WA0005.jpg
    IMG-20230325-WA0005.jpg
    62.9 KB · Views: 37
Sabuni natumia Imperial ila kwenye hizi sabuni kwa sasa zimechakachuliwa sana yaani zilizopo ni fake kabisa kikaratasi kinabanduka hata sabuni haijaisha!

Mafuta ni lotion ya Nivea

Deodorant natumia Nivea ya maji
 
Back
Top Bottom