Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

View attachment 2719054
Unyama naugawa free kabisa .. member wawili wajitokeze .. walete na mrejesho hapa .. Yaani utalipia delivery tu ila mzigo free kabisa

dada Hornet alifanikisha hii[emoji736], shukrani kwake, feedback za ubora ni nzuri sana (Creed) hazina harufu kali(haishout)ni zimepoa,inakaa muda mrefu ile ukirudi jioni bado unaifeel . Wenye kuhitaji/kununua wachek nae namna ya kupata [emoji1488]
 
ALITUMIA NJIA GANI KUKUTUMIA ...WEKA NA VIAPATANISHO SMS TUPU HAILAMBWI MZEE
Mzigo huu hapa mkuu ,alitumia kampuni zile za cargo mikoani,Hana mbambamba
IMG_20230819_223152_180.jpg
 
Back
Top Bottom