stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hiyo My way ni ya kike au ya kiume...?Emat ana My way
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo My way ni ya kike au ya kiume...?Emat ana My way
My way yakike hiyo mzee iko fresh sana ila kama utaipenda sana tumia tu mbona mi natumiaga black opium na ni ya kike [emoji1] na hakuna shida yyte [emoji1]Hiyo My way ni ya kike au ya kiume...?
Kind of unsex…Hiyo My way ni ya kike au ya kiume...?
Za kike zina manyonyo? 😄My way yakike hiyo mzee iko fresh sana ila kama utaipenda sana tumia tu mbona mi natumiaga black opium na ni ya kike [emoji1] na hakuna shida yyte [emoji1]
Haina harufu Kali? Inayoleta mafuaKuna 15,000
25,000
35,000
Delivery ipo
0655155782(ipo hewan 08:00-18:30 MON-Saturday
[emoji1787][emoji1787] kweli lakinZa kike zina manyonyo? [emoji1]
Mbona pia nina 212 for men, na kawaida tu naona.
ukweli mie napenda sana za kike zinazonukia kma matunda ama pipi kmaZa kike zina manyonyo? [emoji1]
Mbona pia nina 212 for men, na kawaida tu naona.
Pink chiffon…. Ina mwenzake pink sugar, ni mkali kinoma noma.ukweli mie napenda sana za kike zinazonukia kma matunda ama pipi kma
1. sweet passion
2. pink chiffon
3. la nuit tressor
4. riri
5. Red sorbert
6. escada cherry in the air
7. black opium
8. lavie este belle
9. escada incredible
10. caty night
hzo zote za kike ila ni tamu sanaaaaa
Hapo natumia namba 7 tu hyoukweli mie napenda sana za kike zinazonukia kma matunda ama pipi kma
1. sweet passion
2. pink chiffon
3. la nuit tressor
4. riri
5. Red sorbert
6. escada cherry in the air
7. black opium
8. lavie este belle
9. escada incredible
10. caty night
hzo zote za kike ila ni tamu sanaaaaa
jaribu na zingine hpo ni nzuri sanaHapo natumia namba 7 tu hyo
Safi, sh ngapi hyo?Sauvage Elixir.
Poa sana hii kitu
Uliivuta kwa bei ganSalaam
Natumiaga hii kitu ila kwa sasa kupata yenyewe kabisa imekuwa shida sana
Hii niliipata Znz lakini bado haijaifikia Ile OG yenyewe
Mwenye anajua wapi naweza pata og akuje inbox View attachment 2749891
Alianza 210k nikamvuta mpaka 180k Muzammil Shop ZnzUliivuta kwa bei gan
HYo ni orijino aiseAlianza 210k nikamvuta mpaka 180k Muzammil Shop Znz
Botega venetaWakuu kwema nataka botega veneta nimetafuta tabora nzima hakuna