Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nisaidien majina y perfume tatu nzuri za kiarabu arabu ukiachana na Ramz lataffa
 
Naulizia bei ya hii kitu
images.jpeg
 
pink sugar ni mzuri

ila kma unataka mzuri zaidi

nenda kwa PINK CHIFFON

utakuwa umemamliza utamu.
Siku nanunua pink sugar, pink chiffon pia ilikuwepo. Katika kunusa nikaona pua zimependa pink sugar, iko so cool.
Ila pink chiffon nikahisi ina ka ukali kiasi?
 
Back
Top Bottom