Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja mkuu, kambale wacha kabisa huyu samaki ni very mtamu.Kambale
Na huku upoHalafu mama me nafsi inaniuma hunipi nafasi kabisa. Unaniona kama me mleta comedy.
😀😀
maji baridi ndo hawa wa kufugwa nyumbani?Samaki watamu utawakuta maji baridi,hasa wilayani kyela. Kuna
1. Mbagale nafikiri anapatikana ziwa nyasa tu.
2. Ngolokolo (hawa ni wadogo wadogo) watamu balaa.
3. Mbelele-huyu wengi wanaweza wakawa wanamfahamu
4. Mbasa. Huyu ni samaki mkubwa analiwa mpaka utumbo
5. Ndio wapo wengine Ngosyola,mbufu.
N.B hawa samaki nafikiri wanapatikana ziwa nyasa tu mito yake
Hapana mkuu. Maji baridi ni kama hayo maji ya bomba. Ni ya kawaida yanayotumika hata kwa kunywa. Maji baridi hayana chumvi,kama ilivyo bahari ya Hindi. Ziwa nyasa lina maji baridi
Tasi na kolekole wanatofauti ganiSidhani kama pweza ni samaki lakini... Mpate tasi... Utamu mpaka kisogoni
Changu mwenye kidoti wenyewe wanamwita changu_doaSalam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
mbona umechanganya samaki wa baharini na maji baridi (ziwani)? Ladha yao ni tafauti.Salam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Tatizo bei zake zimechangamkaMbasa wa ziwa nyassa ambaye amefikisha saizi kubwa km ya kilo nne hivi
Mgebuka hana maajabu yeyote.Huwa nasikia mgebuka ni mtamu sanaa. Sijawahi kumla nitamuonja siku moja nione.
Ila mgebuka wanasema wenyewe watu wa Kigoma upate yule fresh aliyetoka kwenye maji siyo samaki aliyekaa kwenye mafriji wiki
Hapana.Nafikiri samaki wa ziwa tanganyika, kwa mzunguko niliofanya hapa nchini ndo watamu zaidi ,mfano :Singa,kuhe ,migebuka nk