Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

WAKIPATAGA waendelezaji wa mali zao inakua vizuri zaidi.hebu siku kutana na wafanyakazi wa mohamedi au mo dewj wakusimulie mikasa ya makazini mwao..
kikubwa kinachovunja biashara ni kua wengi wakishakufa wanakufa na maagano yao na makfara yao.hakuna kunakua na wakuyaendeleza labda upate mtu ataekua tayari kwa ilo la kini kwa kua huwaga walengwa wengi wanakua ktk maisha mazuri either wanadharau maagano na matambiko na makafara ya wazazi wao au wanayashindwa kuyatimiza kutokana na ugumu wke.kuna matajiri hawavai kiatu.wengine kunyoa nywere kwa mwezi mara moja na mashart mengi.kuna mifano mingi labda uwe unabisha tu kwa kua huelewi.uko iringa adi watu wanalala na mama na dada zao wenginr wanawaua kbisa ili biashara ziende sawa.na ni matajiri hawsa.
 
Biashara bila kamati ya ufundi sidhan kama inaweza kuendelea...
 
Duuuh sasa hizi zilizoweza kutusua kuna kamati za ufundi Unapiga ombi Wateja wananamininika kwako tu
Ni hatari mkuu Mara nyingi hufanyiwa mitoni...maji yanavyotililika ndivyo wateja wanavyomwagikianaaa
 
Asante sana ko uchawi Ina maana upo dunia nzima na wote wanautegemea huo Mimi hilo la maagano naliamini lakini tuchukulie huu wa kuvuta wateja mbona hizo biashara huwa zinaanguka pia nakumbuka kuna jamaa pale mbezi alikuwa akiuza tofali kumbe kaenda kwa babu watu wanavuka site zote wanaenda kununua kwake ingawa zilikuwa mbovu tofali zake lakini akaja mpemba jirani akawa anazalisha tofali nzuri mbona alimzidi Huyu na uchawi wake watu wakawa wanaongelea uzuri na ubora wa tofali ko haya yapo lakini sio huduma mbovu kisa tu una ndumba utauza
 
Ni hatari mkuu Mara nyingi hufanyiwa mitoni...maji yanavyotililika ndivyo wateja wanavyomwagikianaaa
Duuuh hii sawa ipo je hivi hivi huwezi? Maana hizi imani zingine ni cost kwetu mfano mbeya ipo ya kupiga na nondo ili wauze nyama kwa wingi kwenye mabucha yao mtu anakupiga nondo ya ukweli kichwani mradi tu apate damu
 
Mkuu kiukweli kama uku niliko aisee kuna jamaa angu alifungua duka akawa haamin katika imani hizo..sa mwisho Wa Siku duka alilifunga ..kamati ni muhimu mkuu ila isizidi sana mipaka
 
Mkuu kiukweli kama uku niliko aisee kuna jamaa angu alifungua duka akawa haamin katika imani hizo..sa mwisho Wa Siku duka alilifunga ..kamati ni muhimu mkuu ila isizidi sana mipaka
Hahah hiyo noma mkuu Mimi ngoja ngoja bado siuamini huuu Kamati yangu awe Mungu hivi vitu ukijiingiza hutoki nakuambia utashangaa mtoe baba au mtoto
Hakuna cha uchawi na ntapiga business [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji12]
 
Mafanikio ya biashara utayapata ukijituma tu mkuu achana na hao wanaoamini uchawi
Kwanza chunguza watu wengi wanaosadikiwa kuwa ni wachawi ni maskini sasa kama kweli mafanikio ya biashara yanategemea uchawi hao wachawi si ndo wangekuwa matajiri wakubwa basi hapa duniani
 
Mkuu Biashara bila mtaji ata ukazindike chini ya bahari itakula kwako.
Hahah sasa utaitaje biashara akati huna hata mtaji Mkuu

Watu Wanauza karanga tena kwenye ungo bado wanaenda kwa Babu kuroga biashara za bongo
 
Umeona kabisa hilo mkuu wanatutisha tu apa eti huwezi Fanya biashara mpaka uchawi ndo hawa hawa wanadai bank zote zimezindikwa Imani zingine poor sana
 
akaja mpemba!!!hao walizidiana kamati za ufundi.wapemba nao ni balaaa.wanahangaishana na wakinga sana k.koo.so sishangai kama mpemba alianza kuuza yeye jamaa akadoda
 
"Kufanya Biashara bila Uchawi ni sawasawa na simu bila network"
 
Anataka kuniambia mabasi hayana figisufigisu za uchawi?
 
akaja mpemba!!!hao walizidiana kamati za ufundi.wapemba nao ni balaaa.wanahangaishana na wakinga sana k.koo.so sishangai kama mpemba alianza kuuza yeye jamaa akadoda
Huenda lakini Mimi sijaamini huo upande mpemba tofali zake zilikuwa imara sana ndio maana Huyu na uchawi wake akadoda HUDUMA BORA FAIDA ZAIDI
 
Huenda lakini Mimi sijaamini huo upande mpemba tofali zake zilikuwa imara sana ndio maana Huyu na uchawi wake akadoda HUDUMA BORA FAIDA ZAIDI
hata wateja wa jamaa wa tofalu mbovu walikua wnaziona nzuri sana kama za mpemba.itakua uchawi w mpemba ushakukumb wewe ndo maana unaziona supa.kumbe za kawaiiida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…