Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
- Thread starter
- #81
hata wateja wa jamaa wa tofalu mbovu walikua wnaziona nzuri sana kama za mpemba.itakua uchawi w mpemba ushakukumb wewe ndo maana unaziona supa.kumbe za kawaiiida
hahhaha wewe nawe nahisi upo kwenye chama duuh ndio maana nikasema biashara nyingi kuna uchawi ndani yake WATU ROHO NGUVU NENO LA MUNGU NJE
ngoja niendelee kudadisi maana inashangaza wabongo kuzikumbatia hizi imani kama umo useme faida kubwa unayoipata