Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

Haya mambo yalimfilisi Mzee wangu na kumuua kabisa,tumia kanuni za kibiashara tu.Usisahau kusali kabla ya kufungua na baada ya kufungua pia usisahau kutoa sadaka kumshukuru mungu
 
Kwauwelewa wangumimi uchawi ninjia mbadala tena yahalaka kukalibia mafanikioyako unayoyaitaji ila mwenyezi mungu amitukataza tusiutumie kwasababu anauwacha ili atupime wajawake. Sasabasi wengi wanautumia katika mafanikioyao nawanafanikia ila nawengune wanafeli. Ila kinachonishangaza Mimi nikwamba mtu yukotayali kukunua uchawi walakisita6.uku mtajiwake lakimoja. Mimi kamamimi sifanyi jamboilo labda mbeleuko kwasababu niendako sikujui.
 
Tatizo kwenye haya mambo ngozi nyeusi ni wasiri na wanafiki sanaa tofauti na wenzetu ngozi nyeupe.
Wanafanya sana ila kwa kujificha sanaa. Wahindi hawana kujificha na unafiki. Kaa na wafanyabiasha ndo utajua mambo sio una kaduka na ww unajiita mfanyabiashara. Pesa nyingi ni shetani.
 
Kuna dada anaiza ndizi mbivu...hana mtaji mkubwa nadhan hata 10000 haifiki .ss ameniambia ameenda kwa mganga akaja akamchimbia dawa chini ya genge lake... Akasema nimwazime 20k aende tena kumuuliza mbona hauzi?
Nikamwambia hujafikiria pia hali ya hewa?.maana kila siki tuko na mvua hakuna wakula matunda .akasema hapana nataka akanipe ile kali zaidi...nikampa nikajua hataweza ilipa nitafidia kwa mkaa coz anauza na mkaa...ameenda akapewa tena😆! Tok ijumaa iliyopita kila nikipta gengen kwake hayupo nikamchek kasema kaua mtaji😃....! Anayemuamn mganga ana shida sehem...sijui lakini!
 
Kuna dada anaiza ndizi mbivu...hana mtaji mkubwa nadhan hata 10000 haifiki .ss ameniambia ameenda kwa mganga akaja akamchimbia dawa chini ya genge lake... Akasema nimwazime 20k aende tena kumuuliza mbona hauzi?
Nikamwambia hujafikiria pia hali ya hewa?.maana kila siki tuko na mvua hakuna wakula matunda .akasema hapana nataka akanipe ile kali zaidi...nikampa nikajua hataweza ilipa nitafidia kwa mkaa coz anauza na mkaa...ameenda akapewa tena😆! Tok ijumaa iliyopita kila nikipta gengen kwake hayupo nikamchek kasema kaua mtaji😃....! Anayemuamn mganga ana shida sehem...sijui lakini!
Huyo hana tofauti na jamaa yangu mmoja hivi mwenyeji wa makambako, mwaka jana alifungua biashara yake miezi ya mwanzo alikuwa anajikongoja anauza but akaona haitoshi akaamua kurudi kwao, baada ya kupewa dawa na kurejea hapa jiji akaiweka katika biashara
Mambo yote yakabadilika, siku ya kwanza hakuuza hata shilingi na haikuwahi kutoa

Kwa sasa biashara imefungwa dawa haikusaidia kitu zaidi ndio kama ikifukuza hata wale wateja wachache
 
Kikubwa dua tu,kumuomba mungu akufungulie njia katika biashara zako na akulinde na wabaya wanaokunyemelea......ukweli wengi wanatumia dawa/waganga kwenye biashara na wanafanikiwa kwa nguvu ya sheitwani,kuna MTU biashara ziligoma tukamuomba mungu kwa dua na kufunga mambo yakafunguka mpaka Leo yanaenda vizuri kwa uwezo Wa mungu.
 
Kaka,

1. Mtegemee Mwenyezi Mungu. Yeye ndio amekuumba wewe na ndio pekee wa kukuongoza kwenye mafanikio.
2. Hangaika. Waarabu wana msemo wao, "Manijtahada, Wajada" yaani mwenye kujitahidi hufanikiwa. Kama unaona hupati mafanikio ongeza jitihada na tafuta marafiki waliofanikiwa wakusaidie kimawazo.
3. 10X biashara yako. Kama unafanya biashara ambayo watu wengine wanafanya. Jiulize swali lifuatayo, "Nifanye kitu gani niwe bora Mara 10 kuliko washindani wangu?". Ukishapata jibu fanya hivyo.

Uchawi upo lakini haina nguvu kama unavyofikiria. Ingekuwa inayo basi kwa uchawi wetu wakiTanzania tungekuwa tushashinda Africa Cup. Ajabu nikuwa hata kuingia hatuingia.

Focus kwenye kuchapa kazi na achana na mambo haya. Yatakuumiza kichwa na kuuwa malengo yako.

Good Luck!
Vitabu vitakatifu vinaongelea uchawi wewe nani upinge..hadi wazungu wachawi nimewashuhudia kwa macho Yangu..wafanyabiashara wote wakubwa wachawi msidanganywe..
 
kama uchawi ungekuwa unalipa tungekuwa nchi amabyo ingeongoza kwa uchumi nadhani ni Nigeria kwa dunia nzima muhimu ni juhudi na maarifa usiamke baada ya wateja kuamka amka kabla ya wateja kuamka , chunga kauri za kufunga biashara yako mfano "mteja anauliza una sabuni ya Ayu ? wewe unamjibu mbona zimeacha kutumika miaka mingi sasa hapo unaua biashara yako.
Tatizo makafara yanatofautiana..huko tayari kumtoa mtoto wako mpendwa..watu wanauwa watoto wao wawe viongozi wakubwa.kuna matajiri nao wanauwa watoto wao hapo watu wanatofautiana roho ngumu sio kuvunja vinazi barabarani
 
Wengi wanadai kuwa waganga wanaweza kutambika sehemu ya biashara yako na kuifanya upate wateja mimi siko simo huko......nakuja kwa upande wako je hiyo sehemu unayotaka kuzama kibiashara umeshajiuliza ni wachawi wangapi wametoka hapo?hapa namaanisha wafanyabiashara waliowahi kuleta waganga kuwatambikia?unafikiri hiyo sehemu(ardhi)imetamkiwa vitu vingapi ambavyo vilizoea kuabudiwa?..ushauri wangu kabla hata hujaingiza mzigo sehemu husika mtangulize kiongozi wako wa kiroho unayemuamini au kama wewe ni muumini mzuri ambaye umesimama tambika kwa DAMU YA YESU hakuna mchawi wala shetani atakayeisogelea biashara yako,otherwise utaishia kugombana na wafanyakazi wako na hutopata muafaka.
Nawasilisha
Na wewe una iman ile ile ya kishirikina tu sema wewe una ushitikina wa kikanisa. Poor you. Haya mambo hayapo. Hata kuombea ukapata wateja hakuna kitu kama hicho. Ni sabab nyingine kama location, aina ya biashara ,namna unavyoifanya, kubana matumizi, na mbinu za kuipanua. Hakuna cha zaid. Watu wanapigwa tu. Iwe mganga au shekhe au mchungaj, unaibiwa sehem tu ya mtaji bure
 
Kuamini uchawi kwenye biashara yako ni kujiongezea unnecessary OPERATION COST kwenye biashara yako na hivyo unapunguza REVENUE na hapo hapo unakosa kitu kinachoitwa SUPER NORMAL PROFIT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom