Midnight
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 229
- 681
Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani.
Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000
Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna baadhi ya maeneo mtu unaweza kujiongoza mwenyewe kutalii bila kuitaji data zozote za maeneo hayo toka kwa muongozaji, maana hadi unafika hapo kila kitu ulishakijua tokea Google na safari channel. Ila unaambiwa hapa hauwezi kwenda mwenyewe bila muongozaji. Ukiuliza ghalama za muongozaji Sasa!!!utachoka ni mara 10 ya ghalama unayolipia kwa serikali kutembelea maeneo hayo.
Kiukweli bado hamjamsaidia mtanzania kutembelea vivutio vingi vilivyopo, bali imekuwa Kama kificho tu cha wapigaji.