Midnight
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 229
- 681
- Thread starter
- #21
Kweli ni muhimu sanaSasa kama unalifahamu kiasi hicho kuna umuhimu gani wa kwenda?
Pia najua wale waongozaji wanajua pia sheria za hifadhi, dos and donts za hifadhi.
Nilienda Mikumi na Udzungwa, haikua lazima kutumia tour guide.
Hata ukipita Serengeti, sio lazima uwe na mwongoza watalii.