KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k
Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo.
Nikianza namimi binafsi maneno haya yamekuwa yakinitatanisha...
1. Muziki au Mziki Kati ya hayo mawili lipi ni neno sahihi..??
itakuwa vyema jibu likitoka na sababu.
2. husda au husuda...??
orodha itaendelea kadri mjadala utakavyokuwa ukiendelea,lakini pia ningependa kugusia kitu hichi kidogo ni kutofurahishwa na baadhi ya maneno mapya ambayo yamekuwa yakitengenezwa ili kupanua lugha yetu!. Maneno hayo ni akili mnemba (artificial intelligence) na pia ndege nyuki yani (drone).
hili la ndege nyuki badala yakukaa kama jina limekaa kama sentensi!,ningeshauri kutunga majina badala ya kuunga sentensi!.
akili mnemba pendekezo langu ingeitwa akili sanifu!.
karibuni kwa mjadala.