Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Zungumza, kisha upload kama audio.ni vile tu nna uvivu wa kutype
Duh! 🙄tapeliA anakuja kutoa pesa, ila anachonga na mwenzake tapeliB toka mkoa mwingine
yule tapeli B anatoa pesa kwa wakala kwa msaada wa tapeliA, tapeliA anapokea pesa na kusepa kisha tapeliB anawapigia customer care na kusema amekosea kutuma
muamala unarudishwa chap
kabla ya mhudumu kutoa pesa, aone kitambulisho cha mtoaji pesa na jina lifanane na lile linaloonekana kwenye simuSuluhisho/ mbinu za kukwepa hiki kipigo?
Kitambukusho Cha nini mkuu?kabla ya mhudumu kutoa pesa, aone kitambulisho cha mtoaji pesa na jina lifanane na lile linaloonekana kwenye simu
Mara nyingi huwa nawambia watoe kwa lipa namba ile haitoki mda huo huo hasa kwa ambae nawasiwasi nae ..ni jana tu kafika kwangu alivoonna mambo ya lipa kaaga kuondoka ..walikuwa wawiliDuh! 🙄
Suluhisho/ mbinu za kukwepa hiki kipigo?
Muamala kabla ya kurudishwa lazima upigiwe simu na huduma kwa wateja kwanza.tapeliA anakuja kutoa pesa, ila anachonga na mwenzake tapeliB toka mkoa mwingine
yule tapeli B anatoa pesa kwa wakala kwa msaada wa tapeliA, tapeliA anapokea pesa na kusepa kisha tapeliB anawapigia customer care na kusema amekosea kutuma
muamala unarudishwa chap
cha NIDA, cha kura, cha pasipoti,Kitambukusho Cha nini mkuu?
Fafanua
kuchukua tahadhari ni bora zaidiMuamala kabla ya kurudishwa lazima upigiwe simu na huduma kwa wateja kwanza.
Kabisakuchukua tahadhari ni bora zaidi
Hapo pagumu mkuu maana wabongo wengi hawatembei na vitambulishocha NIDA, cha kura, cha pasipoti,
Huu ni utapeli au uvamizi?Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk.
Naanza:
Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache wenzake wanakuja wanakuvamia wanachukua hela zote.
Naomba anayejua mbinu nyingine aweke hapa ili tunaofanya biashara hizo Tuwe na taadhari juu ya matapeli