dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
yeah kufanya kazi kwa mazoea na wajanja wanatumia loophole hiyoHapo pagumu mkuu maana wabongo wengi hawatembei na vitambulisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah kufanya kazi kwa mazoea na wajanja wanatumia loophole hiyoHapo pagumu mkuu maana wabongo wengi hawatembei na vitambulisho
Nafanya biashara hii. Sasa nataka nijifunze mbinu za kukwepa kutapeliwaHuu ni utapeli au uvamizi?
Kwanini unataka ujifunze mbinu za utapeli?
Tapeli dronedrake mzigoni 😁😁😁😁tapeliA anakuja kutoa pesa, ila anachonga na mwenzake tapeliB toka mkoa mwingine
yule tapeli B anatoa pesa kwa wakala kwa msaada wa tapeliA, tapeliA anapokea pesa na kusepa kisha tapeliB anawapigia customer care na kusema amekosea kutuma
muamala unarudishwa chap
😃 😃 HapanaTapeli dronedrake mzigoni 😁😁😁😁
Duh 🙄Ilikua hivi, ni miaka kadhaa sasa Jamaa alikuja Dukani alinipa Pesa kama Milioni 1 nimuwekee katika Tigo Pesa..... akanipa nikazihesabu ila akaghairi akasema nimuwekee katika Zantel ilihali anajua kabisa Tanzania bara huku Zantel ni kupengere... nikamwambia hiyo sina.... akasema basi naomba hizi Hela... nikampa, mara Simu yake ikaita akapokea akasema HUYU ZANTEL HANA LABDA NIKUWEKEE KATIKA TIGO TU, akanirudishia zile Hela akasema weka katika Tigo tu.... laaahaulaaaaa!!!! Kumbe alishazibadilisha na alikua na Vibunda viwili... kimoja Elfu kumi kumi ambazo alinipa mwanzo na kibundq kingine kilikua Elfu mbili mbili nyingi ila zimefunikwa na Elfu kumi kumi nami sikuzihesabu.... nilivyomuwekea kumbe ana namba za Wakala, Nilivyoweka tu akazitoa muda huo huo.....
Niyo mbinu ni active sana kwenye mitandao ya simu kama tigo,airtel na halotel ila voda ni ngumu maana voda ukikosea mualama wanakusubirisha hadi masaa 12 kukurudishia pesa yako.😃 😃 Hapana
Ni mpumbavu pekee ataibiwa kwa mbinu hii kwa sababu Salio baada ya mamala lazima libadilikeKuna hii tapeli anamtu mtu wa jiran sana na wakala
Anachukua simu ya wakala anaandika namba ya tapeli kisha anasave M.pesa au Tigopesa
then tapeli anakuja siku mbili tatu mbeleni na txt iliotumika ya M.pesa Anaedit muda na tarehe
Wakala ukiwa na haraka ukiifungua tu simu unaona imeandikwa mpesa..unampa pesa tapeli ....na ww unakuwa ushaenda kibla
laaahaulaaaaa!!!! Kumbe alishazibadilisha na alikua na Vibunda viwili....
Hiii sululisho lake wakala mteja yoyote akitoa pesa kubwa inatakiwa ajilidhishe kama ni mhusika mwenyewe.kwa kuangalia utambulisho wa muamala tarehe saa na msg kama ameforwadiwa .tapeliA anakuja kutoa pesa, ila anachonga na mwenzake tapeliB toka mkoa mwingine
yule tapeli B anatoa pesa kwa wakala kwa msaada wa tapeliA, tapeliA anapokea pesa na kusepa kisha tapeliB anawapigia customer care na kusema amekosea kutuma
muamala unarudishwa chap
sahihi kabisaHiii sululisho lake wakala mteja yoyote akitoa pesa kubwa inatakiwa ajilidhishe kama ni mhusika mwenyewe.kwa kuangalia utambulisho wa muamala tarehe saa na msg kama ameforwadiwa .
Hii pia nilipigwa bahati nzuri haikuwa kiasi kikubwaIlikua hivi, ni miaka kadhaa sasa Jamaa alikuja Dukani alinipa Pesa kama Milioni 1 nimuwekee katika Tigo Pesa..... akanipa nikazihesabu ila akaghairi akasema nimuwekee katika Zantel ilihali anajua kabisa Tanzania bara huku Zantel ni kupengere... nikamwambia hiyo sina.... akasema basi naomba hizi Hela... nikampa, mara Simu yake ikaita akapokea akasema HUYU ZANTEL HANA LABDA NIKUWEKEE KATIKA TIGO TU, akanirudishia zile Hela akasema weka katika Tigo tu.... laaahaulaaaaa!!!! Kumbe alishazibadilisha na alikua na Vibunda viwili... kimoja Elfu kumi kumi ambazo alinipa mwanzo na kibundq kingine kilikua Elfu mbili mbili nyingi ila zimefunikwa na Elfu kumi kumi nami sikuzihesabu.... nilivyomuwekea kumbe ana namba za Wakala, Nilivyoweka tu akazitoa muda huo huo.....
Mimi nafanya hii kazi ..nikiona mteja katoa kuanzia laki tano na kuendelea nachofanya na mwambia mteja sijaona msg yake..naomba simu yake nijiridhishe ..hapo nakagua tarehe utambulisho na msg kama sio ya kufowadiwa...then narudi kwa simu yangu kuangalia salio nililokuwa nalo mwanzo na lililoingia sahizi kama ni sahihi.ndipo nampa pesa yake.mara nyingine nikiwa na stress huwa nafunga frem naenda zangu home kulala ili kuepusha majanga zaidi.kazi hii akili yako ina bidi iwe hatua kumi ya mteja umzidi mteja akili.na usifanye mazoea na watejaasahihi kabisa
Ila hii njia imetoka kumliza jirani yangu siku si nyingi...tunarudi kule kule usifungue uwakala kama akili yako ni chini...uwakala kuna kujiongeza kwa kila njia ...uwe mwepesi wa kutambua harufu ya utapeliiiNi mpumbavu pekee ataibiwa kwa mbinu hii kwa sababu Salio baada ya mamala lazima libadilike
Kumbe tupo wengi🤠🤠🤠🤠Hii pia nilipigwa bahati nzuri haikuwa kiasi kikubwa
HahahahaaaaaaMara nyingi huwa nawambia watoe kwa lipa namba ile haitoki mda huo huo hasa kwa ambae nawasiwasi nae ..ni jana tu kafika kwangu alivoonna mambo ya lipa kaaga kuondoka ..walikuwa wawili
Huyo kibokoIlikua hivi, ni miaka kadhaa sasa Jamaa alikuja Dukani alinipa Pesa kama Milioni 1 nimuwekee katika Tigo Pesa..... akanipa nikazihesabu ila akaghairi akasema nimuwekee katika Zantel ilihali anajua kabisa Tanzania bara huku Zantel ni kupengere... nikamwambia hiyo sina.... akasema basi naomba hizi Hela... nikampa, mara Simu yake ikaita akapokea akasema HUYU ZANTEL HANA LABDA NIKUWEKEE KATIKA TIGO TU, akanirudishia zile Hela akasema weka katika Tigo tu.... laaahaulaaaaa!!!! Kumbe alishazibadilisha na alikua na Vibunda viwili... kimoja Elfu kumi kumi ambazo alinipa mwanzo na kibundq kingine kilikua Elfu mbili mbili nyingi ila zimefunikwa na Elfu kumi kumi nami sikuzihesabu.... nilivyomuwekea kumbe ana namba za Wakala, Nilivyoweka tu akazitoa muda huo huo.....
Kuchomoka uwe makini sana, ila atafanya anachoweza hadi akubadilishieHuyo kiboko