Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

Kikubwa usimuamini mteja yeyote. Kuna dada jirani hapa Kalizwa.. Ndani ya mwezi huu alipata mteja mmoja alikuwa akifika pale ofsin kwake na kufanya miamala mikubwa mikubwa na baada ya miamala hakusita kumuachia huyu dada Elfu 20 au 30 na kumwambia kuwa anajua hzo kazi malipo yake ni ya kawaida kwa wafanya kazi hvyo achukie kias hicho kimsukume sik mbil tatu. Kafanya hvyo mara kadha na dada akaanza kujenga uaminifu kwa jamaa. Mteja feki akazid kuboresha mbinu za kuaminiwa hvyo hata kama yuko karibu atamuomba yule dada amuwekee mpesa kias flan cha pesa na angemletea baada ya dakik chache na kweli alifanya hvyo mara kadha. Sik ilipowadia akamuomba yule dada amuwekee kama 2m na angeleta baada ya dakika chache maana yuko njian. Dada alipomaliza kufanya muamala na ndio ikawa mara ya mwisho ile sim kupatikana
 
Back
Top Bottom