Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo
Vidogo au kampuni za kufanya printing.
Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa mpaka zile kubwa, hapa hatuzungimzii photocopier machine, the nazugumzia printer mashine za kuprint nyaraka, vipeperushi, picha , na mabango makubwa.
Aina zote za printer kama zile za kawaida , dtf, 3d n.k.
Karibu tujadili wazoefu watupe majibu.
NB, printer ndio kifaa kinachoweza sumbua na kuharibika kwa wepesi, lakini ni ghali pia.
Tusaidiane.