Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Bila kusahau kibar changu cha mtaa kwa mama kamche savey [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Tips
Havoc
Bucket
Truth
Golden J wameanza kujirudisha tena
Elements
Hangover (sio sana)
La Stanza - Goba
Sisi wengine ni wa kuingia na kutoka Dar kwahiyo maelekezo zaidi ya wapi hizo sehumu zipo yanahitajika ili tule bata tunapokuwa Dar
 
Hiyo kitu ya kushuka club debe zinaita huku nimekaa tu napiga story siiwezi kabisa. Mwili wangu hautakubali kabisa. Hongera zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ili nisicheze huwa najicontrol pombe isiingie kichwani. Mimi pombe ikiwa kichwani nikasikia mziki hata mbele ya baba mkwe nacheza
 
Sisi wengine ni wa kuingia na kutoka Dar kwahiyo maelekezo zaidi ya wapi hizo sehumu zipo yanahitajika ili tule bata tunapokuwa Dar
Mkuu hii ni muhimu sana hata kwa sisi wa Dar, sometimes tunakinai maeneo, so we need new taste and experience !!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unakata viuno mbele ya baba mzaa chema

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ili nisicheze huwa najicontrol pombe isiingie kichwani. Mimi pombe ikiwa kichwani nikasikia mziki hata mbele ya baba mkwe nacheza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unakata viuno mbele ya baba mzaa chema
Sishindwi eti. Pombe zangu ni weka mbali na mziki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom