Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
kabisa yani..Maisha kwa ujumla ndo pa kujifunzia starehe. Nimeanza starehe kwa kwenda maisha mwaka 2011 hiyo
wengine tulikuwa tukienda asubuhi ikifika unajikuta umebaki na jero tu..unaanza kula mguu kupunguza kimwendo mpk ufike eneo unaloweza panda basi moja tu ili ufike home!