Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Mi naishi kisarawe nielekezeni kiwanja cha gongolamboto au maeneo ya jirani!
 
Yeees. Atakua Golden J leo na band pia na hakuna entrance fee
ok...ila kule nako mbaliii.
naweza pita kumuangalia ndege kama steki bado zimepangana vizuri au zimetepeta.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Itakua. Ndo maana nakuta wakaka wanatoka mbezi sinza wanakuja kunywa Goba. Kumbe wana yao moyoni
Bila shaka utakua unakaa ukanda wa wilaya ya kinondoni tena nahisi mbezi beach maana umetaja viwanja vya ukanda huo tu sijaona ukivitaja viwanja vya temeke,ukonga au tabata
 
Bila shaka utakua unakaa ukanda wa wilaya ya kinondoni tena nahisi mbezi beach maana umetaja viwanja vya ukanda huo tu sijaona ukivitaja viwanja vya temeke,ukonga au tabata
Temeke iko liquid
 
Vijana wa zamani kiwanja chetu ni Triple Seven Mikocheni. Hapo utakutana na wale Wasichana wa zamani na kuongea kizamani kwa mtindo wa kisasa
777 hata mie binti nisie wa zamani sana napaenda. Hata last weekend nilikua hapo.
 
Back
Top Bottom