SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
π
Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku
Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! π΅π«yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka tune-up; yaani mtaa una shughuli
Ndio unasikia makelele 'oh' laana hiyo! 'oh' hamkutokea wakati tunarindimwa na risasi ile 'oh' tumevaa mpaka baibui lakini hamkutuona wala hamkusikia, Mikogo yote ile mkabakia kupiga miluzi tu fyiiii fyiiii fyiii kha mmelaaniwa ninyi!
Mwingine wakati akipokelewa na kusindikizwa naye alikuwa akisikia mirindimo, tuk tuk tuk tru tuu tuu tuu paaa! Yaani alitonyeshwa majeraha
Yule mmoja andai kupigiwa miluzi ni laaana na yule mwingine akisikia tuk tuk tru tu tuu tuu tu paaa! Anasikia mirindimo ya risasi. Anadai Uchina husikii hayo!
Tabu kweli!π π π πππππππ