Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kuna hulka moja kuhusu uongo!
Ukirudiwa mara nyingi huzoeleka na kuwa ukweli wa kulazimishwa!
Taratibu zote za uchaguzi mkuu zilizokiukwa kwa kiwango cha juu sana, zinaondoa uhalali wote na wowote wa uchaguzi wa tarehe 29.10.2025
Kampeni ya wanamageuzi na wazalendo wa Tanganyika ilikuwa ni NO REFORMS NO ELECTION! Hiki ndicho tunachoishi nacho mpaka sasa
Kwa hiyo chochote kilichofanyika tarehe 29.10 no NON N VOID! Na mengine yote yaliyoendelea na yanayoendelea mpaka sasa nayo yote ni NON N VOID!
Naona kumekuwa na jitihada kubwa sana zinafanywa kutuzoeza uongo ili hatimaye ugeuzwe kuwa ukweli wa lazima
Tumakinike na hizi kampeni za kutuzoeza uongo
Hatujasahau
Hatujapoa
Hatujapona majeraha
Na machozi bado hayajakauka mashavuni mwetu.. Damu bado ni mbichi ardhini na roho zisizo na hatia bado zinalia
Kamwe tusikubali kuzoezwa uongo unukao uozo na damu zisizo na hatia
Hatujasahau, hatusahau na hatutasahau..!