ALL WAS VOID AB INITIOKuna hulka moja kuhusu uongo!
Ukirudiwa mara nyingi huzoeleka na kuwa ukweli wa kulazimishwa!
Taratibu zote za uchaguzi mkuu zilizokiukwa kwa kiwango cha juu sana, zinaondoa uhalali wote na wowote wa uchaguzi wa tarehe 29.10.2025
Kampeni ya wanamageuzi na wazalendo wa Tanganyika ilikuwa ni NO REFORMS NO ELECTION! Hiki ndicho tunachoishi nacho mpaka sasa
Kwa hiyo chochote kilichofanyika tarehe 29.10 no NON N VOID! Na mengine yote yaliyoendelea na yanayoendelea mpaka sasa nayo yote ni NON N VOID!
Naona kumekuwa na jitihada kubwa sana zinafanywa kutuzoeza uongo ili hatimaye ugeuzwe kuwa ukweli wa lazima
Tumakinike na hizi kampeni za kutuzoeza uongo
Hatujasahau
Hatujapoa
Hatujapona majeraha
Na machozi bado hayajakauka mashavuni mwetu.. Damu bado ni mbichi ardhini na roho zisizo na hatia bado zinalia
Kamwe tusikubali kuzoezwa uongo unukao uozo na damu zisizo na hatia
Hatujasahau, hatusahau na hatutasahau..!View attachment 3501940
Wamekumbuka shuka asubuhi kumeshakuchaHaifiki popote
Kwanza ni dharauKuna hulka moja kuhusu uongo!
Ukirudiwa mara nyingi huzoeleka na kuwa ukweli wa kulazimishwa!
Taratibu zote za uchaguzi mkuu zilizokiukwa kwa kiwango cha juu sana, zinaondoa uhalali wote na wowote wa uchaguzi wa tarehe 29.10.2025
Kampeni ya wanamageuzi na wazalendo wa Tanganyika ilikuwa ni NO REFORMS NO ELECTION! Hiki ndicho tunachoishi nacho mpaka sasa
Kwa hiyo chochote kilichofanyika tarehe 29.10 no NON N VOID! Na mengine yote yaliyoendelea na yanayoendelea mpaka sasa nayo yote ni NON N VOID!
Naona kumekuwa na jitihada kubwa sana zinafanywa kutuzoeza uongo ili hatimaye ugeuzwe kuwa ukweli wa lazima
Tumakinike na hizi kampeni za kutuzoeza uongo
Hatujasahau
Hatujapoa
Hatujapona majeraha
Na machozi bado hayajakauka mashavuni mwetu.. Damu bado ni mbichi ardhini na roho zisizo na hatia bado zinalia
Kamwe tusikubali kuzoezwa uongo unukao uozo na damu zisizo na hatia
Hatujasahau, hatusahau na hatutasahau..!View attachment 3501940
Hofu yangu kuu ni kuwa kwa kadiri tulivyo uzoea uongo, mengi zaidi ya 75 per hayatatekelezwa na baadae ule uongo wa mazoea uliotuacha na ngeu mbaya,utazidi hata hivi viwango vilivyo tuachia ngeu,na mhanga no 1 wa hali hii ni Gen z,wizara yake na upungufu wamchango wa Gez kwa taifa pindi wakiuingia huu mkenge.Ninacho amini ni kuwa There is no good will where there are interest of the greedy.Kuna hulka moja kuhusu uongo!
Ukirudiwa mara nyingi huzoeleka na kuwa ukweli wa kulazimishwa!
Taratibu zote za uchaguzi mkuu zilizokiukwa kwa kiwango cha juu sana, zinaondoa uhalali wote na wowote wa uchaguzi wa tarehe 29.10.2025
Kampeni ya wanamageuzi na wazalendo wa Tanganyika ilikuwa ni NO REFORMS NO ELECTION! Hiki ndicho tunachoishi nacho mpaka sasa
Kwa hiyo chochote kilichofanyika tarehe 29.10 no NON N VOID! Na mengine yote yaliyoendelea na yanayoendelea mpaka sasa nayo yote ni NON N VOID!
Naona kumekuwa na jitihada kubwa sana zinafanywa kutuzoeza uongo ili hatimaye ugeuzwe kuwa ukweli wa lazima
Tumakinike na hizi kampeni za kutuzoeza uongo
Hatujasahau
Hatujapoa
Hatujapona majeraha
Na machozi bado hayajakauka mashavuni mwetu.. Damu bado ni mbichi ardhini na roho zisizo na hatia bado zinalia
Kamwe tusikubali kuzoezwa uongo unukao uozo na damu zisizo na hatia
Hatujasahau, hatusahau na hatutasahau..!View attachment 3501940
We have enough time to do anything before it is too late😭Hofu yangu kuu ni kuwa kwa kadiri tulivyo uzoea uongo, mengi zaidi ya 75 per hayatatekelezwa na baadae ule uongo wa mazoea uliotuacha na ngeu mbaya,utazidi hata hivi viwango vilivyo tuachia ngeu,na mhanga no 1 wa hali hii ni Gen z,wizara yake na upungufu wamchango wa Gez kwa taifa pindi wakiuingia huu mkenge.Ninacho amini ni kuwa There is no good will where there are interest of the greedy.
Hiki ndicho kinachowavuruga watawala. Population ya hivi inaitwa Taifa la watoto na vijana. Hawana hofu, hata kidogo. Wamezaliwa wamekuta vyama vingi. Sasa waache waendelee kukaza mafuvuHofu yangu kuu ni kuwa kwa kadiri tulivyo uzoea uongo, mengi zaidi ya 75 per hayatatekelezwa na baadae ule uongo wa mazoea uliotuacha na ngeu mbaya,utazidi hata hivi viwango vilivyo tuachia ngeu,na mhanga no 1 wa hali hii ni Gen z,wizara yake na upungufu wamchango wa Gez kwa taifa pindi wakiuingia huu mkenge.Ninacho amini ni kuwa There is no good will where there are interest of the greedy.
Hii video na maelezo yake ni yakutazwamwa sana niliwaambiq watanzania kuwa waarabu ni washenzi milele daima ndiyo wanao tuhalibia nchi kwa kutumia mashekh wa kiislamu wanao pewa hongo na kazi kwa familia zao ...ni kosa kubwa sana kuruhusu waarabu kuishi tz au kufanya biashara wao ndiyo wanaratibu mauaji nchi nzima na utekaji ...sasa hivi hadi wana vikosi vyao ndani ya majeshi yetuKuna hulka moja kuhusu uongo!