Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

Huu sio utamaduni wa mtu yeyote,ni ushenzi na dhambi mbele za Mungu.Na mkuu,wewe unahamasisha ushoga indirectly,acha mara moja.
 
Utawafanya waarab wakasirike sasa
 
Inasikitisha Sana kwa sasa kuona vijana wanaoana na wengine bado wadogo. Tupinge haya si sehemu ya utamaduni wa kiafrika
 

Attachments

  • johnpaulpierre_146093334.mp4
    6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…