MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Mwanaume wa kimarangu pesa zake sio kuhonga kabisa ndio Maana wanapata maendeleo, wao Starehe ni Pombe Tu, Mbunye sio kipaumbele kabisaMamangi hapa mmejua kutunyoosha, yaani mtu anaweza kutokea Bukoba mjini au Singida akaja kushangaa Marangu.
Mikoa mingine uchawi tuwachie mababu zetu sisi tukomae kupendezesha nyumbani.
Picha kwa hisani ya Bertin
Video nimeattach
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQMtL86pJ/
Ila kweli pazuri lakini Picha za kutoka juu ndivyo zilivyo ukifika Ardhini sasa ndio unakutana na tope, vumbi, makorongoMamangi hapa mmejua kutunyoosha, yaani mtu anaweza kutokea Bukoba mjini au Singida akaja kushangaa Marangu.
Mikoa mingine uchawi tuwachie mababu zetu sisi tukomae kupendezesha nyumbani.
Picha kwa hisani ya Bertin
Video nimeattach
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQMtL86pJ/
Muhimu Mvua iwe inanyeshaHata Tukuyu tu kupo hivo
Sijawahi kufika huko lakini panaonekana ni pazuri sana ukilinganisha na maeneo mengine TanzaniaMamangi hapa mmejua kutunyoosha, yaani mtu anaweza kutokea Bukoba mjini au Singida akaja kushangaa Marangu.
Mikoa mingine uchawi tuwachie mababu zetu sisi tukomae kupendezesha nyumbani.
Picha kwa hisani ya Bertin
Video nimeattach
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQMtL86pJ/