Mamangi hapa mmejua kutunyoosha, yaani mtu anaweza kutokea Bukoba mjini au Singida akaja kushangaa Marangu.
Mikoa mingine uchawi tuwachie mababu zetu sisi tukomae kupendezesha nyumbani.
Picha kwa hisani ya Bertin
Video nimeattach
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQMtL86pJ/
Well planned and organized homes. Hakuna mafence ya ukuta, ni miti iliyotunzwa vizuri sana.